Mtindo wa msanii Madee kufungua mkanda na kuacha unaning'inia kama
unavyoonekana pichani imekuwa ni kama tabia inayojiendeleza siku hadi
siku, kwa mara ya kwanza namuona Madee akiwa hivyo ilikuwa kwenye
tamasha la Kili Tour dsm nilidhani ameshiba sana ha hivyo kuamuakuachia
mkanda wazi lakini imekuwa kibyume maana kila napokutana nae naona
muonekano ule ule na kuja kujiuliza kuwa ile ni fashion yake ya kipekee
ama nn?
Juzi kupitia Acc ya Instagram ya Bdozen aliputia picha akiwa pamoja na
Madee na nikaona tena hiyo, baada ya kupitia comment za watu mbali mbali
nikakutana na Comment ya Star mwengine wa Bongo Fleva Shaa akitaka
Madee amtoe ushamba kuhusu uvaaji huo. Tazama picha.