Like Us On Facebook

DIAMOND AWACHANA PENNY NA WEMA KUWA NI MATAPELI WA MAPENZI....AWATAKA WAMWACHE ATAFUTE MIKWANJA


Diamond Platnumz hataki kusikia cha Team Wema wala cha Team Penny, wote anawaona wale wale tu wenye mapenzi ya uongo  na  kama  vipi  wamuache  maana  hana  njaa  ya  penzi.
 
Staa huyo wa  bongo  fleva  ambaye bado yupo nchini China, ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akimpongeza ndugu yake kwa kupata mtoto.
 
 
Naye Wema Sepetu jana amerejea Dar akitokea Hong Kong ambako alikuwa kwenye mapumziko ya muda  ambako  alikutana na Diamond kukumbushia penzi lao.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari