Bibi mwenye miaka 99 aliyeacha shule akiwa high school mwaka 1932 hatimaye amemaliza diploma yake.Audrey
Crabtree alikuwa amezungukwa na familia yake na marafiki zake siku ya
jumatatu wakati shule ya jamii iitwayo Waterloo wakimpongeza kwa kufaulu
sana kwenye diploma yake wakati wa kikao cha elimu cha bodi.Report zinasema kuwa Crabtree aliacha
shule akiwa senior high school mwaka 1932 kutokana na majeraha na
kumhudumia bibi yake.Baada ya hapo alienda kuendesha biashara zake kwa
kama miaka 30 hiviKwenye
kikao Crabtree alipata diploma, nakala ya ripoti yake ya mwisho na ya
kumpongeza kwa kuwa mwanafunzi bora hapo Waterloo East High School. Pia
alipata zaidi ya card 100 handmade za kumpongeza kutoka kwa wanafunzi wa
middle school.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.