
Msanii wa Bongo Movie Steve Nyerere akiwa ameduwaa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Zuhura Maftah Malisa nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es Salaam leo


Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza tayari kwa safari ya kwenda kuusitili mwili wa marehemu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.


Ndugu na jamaa wa Marehemu Zuhura wakiwa mbele ya jeneza.

Msanii wa filamu Monalisa akiaga mwili wa marehemu

Mussa Cloud akiaga mwili

Dino akiaga mwili

Kaburi likiwa tayari kwa maziko

Jeneza la marehemu likiwa juu ya kaburi tayari kwa maziko

Jeneza likizamishwa

Mtoto wa marehemu akisaidiwa kumwaga mchanga kaburini

Jeneza likiwa tayari shimoni

Pendo wa Bongo Movie akiaga

Baadhi ya ndugu na jamaa wakiwa makaburini muda mfupi baada ya maziko.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMENI