Yule mwanadada mwenye mbuno za kutosha SNURA usiku wajana aliwavuruga wakazi wa tegeta kwa show kali sana kiasi kila aliekuwepo katika ukumbi huo wa tegeta alikubali kazi ya huyo dada kazi ilikuwa pale alipotambulisha wimbo wake mpya wa nimevurugwa kufikia sehemu ya chorus watu wote walikuwa wanaimba nimevurugwa.alipowamaliza kabisa alipopiga wimbo wa majanga na tunda man alipoingia kama suprise kumsaport dada yake snura na goma lake la dem sio swangwe ziliongezeka zakutosha sana.
SHABIKI BAADA YA KUSHINDWA KUJIZUIA
SNURA AKIKATA MAUNO HADI CHINI
mtu mzima anatunza huku mkono kumpuuuuuuu.............