Hii imekuwa tofauti sana na harusi nyingi ambazo zimewahi kutokea duniani mara nyingi tumekuwa tukiona kamati inayohusika na uandaaji wa harusi ikihusika pia kutafuta ni sare gani watu watavaa katika harusi lakini hii imekuwa tofauti kwenye harusi hii ambao watu walikuwa uchi...
harusi hii ilifanyika huko nchini Newzland imeshangaza walio wengi