...
DUH:JAMANI WADADA HII SASA IMEZIDI: PICHA KAZAA MABINTI WAKIWA KATIKA MAHABA YA WAO KWA WAO

Hizi nimezipata facebook wakiwa wamepost kwenye kurasa zao, ina maana hii
hali ipo kwa sisi wadada , jamani wanaume wameisha au ni nini????????
<<<BOFYA HAPA UONE WENGINE NAO WAKIFANYA YAO>>...
MABASI YA MAJINI KUMALIZA MSONGAMANO WA MAGARI JIJINI DAR!!
Serikali, mashirika binafsi na wadau wa usafiri ndani na nje ya
nchi wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali kukabiliana na msongamano wa
magari katika Jiji la Dar es Salaam.
Msongamano huo ambao unachangiwa kwa kiasi kikubwa
na uduni wa miundombinu ikiwemo barabara, umekuwa ni kero kwa wananchi
na Serikali kwa jumla.
...
UNYAMA: KIJANA AUA MAMA YAKE KWA JEMBE HUKO KAHAMA,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Katika
hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja
mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua
mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.
Habari
kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili
usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado hakijajulikana.
Habari kamili kuhusu tukio hili...
JE UMETAFUTA KAZI KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO?KAZI HIZI HAPA SASA CHAGUA INAYOKUFAA!

GRAPHIC DESIGNER, TANZANIA
Qualifications: National Diploma or degree in Design
Details:Daily News 10 Feb 2014
Deadline: 21 February , 2014
SCIENCE EDITOR, TANZANIA
Qualifications: Bachelor’s degree in Science with Education (majors Chemistry and Biology)
Apply: oxfordtz@oup.com
Details:Daily News 10 Feb 2014
Deadline:...
Baby Madaha atangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa amechoshwa na maisha ya presha

IKIWA imepita miezi kadhaa tangu anaswe katika mtego wa kujiuza, staa wa Bongo, Baby Madaha
ametangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa
amechoshwa na maisha ya presha.
Akiongea na mwandishi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, Madaha
alisema ishu ile imemsababishia matatizo makubwa ya kifamilia na hata
kibiashara, hivyo...
KAULI MBIU:NIPE SAMAKI NIKUPE UCHI..HII NI HATARI!!
Akina mama wamewezeshwa sasa kujikumu kwa kuvua Samaki wenyewe
Katika ufuo wa bahari ya Ziwa Viktoria kuna
biashara inayovuma-dau za uvuvi zilizotengenezwa kwa mbao zimejaa si
haba, asubuhi zimejazwa Samaki wa Tilapia,
Nyakati za asubuhi na mchana, wavuvi
hukusanyika na kupiga foleni kununua Samaki; wengi wao wakiwemo...
NI MARUFUKU KUVAA VIMINI NCHINI UGANDA,UKISHIKWAA.......
Maandamano ya kkupinga agizo la wanawake kutovalia sketi fupi
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni,
ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na
hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha
zenye watu uchi.
Wanawake pia wamezuiwa kabisa kuvalia sketi fupi
sana au 'Mini Skirt' kama zinavyojulikana au blausi ambazo...
LAANA:HII NDIO PICHA ISIO NA MAADILI ALIYOITUPIA MWANAMUZIKI DAVIDO KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM ALAFU GHAFLA AKAIFUTA

Davido
himself shared this photo on his instagram page but deleted soon after.
We wonder why he bothered to share it. Does anyone know who the girl is?.
<<BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>&g...
BREAKING NEWS: MAPIGANO MAKALI YANAENDELEA KATIKA ENEO LA MBEZI JUU JIJINI DAR ES SALAAM

Hili
ni kundi la vijana waendesha bodaboda wakienda mtoni kumwokoa mwenzao
ambaye wanadai ametekwa na wahuni wanaojificha mtoni na kukaba watu,
mpaka sasa boda boda aliyetekwa yupo mwananyamala hospital na mmoja wa
vijana wanaoaaminika kwamba ni vibakaba ameshauawa
Kuna mapigano makali eneo la kwa mzee Juma Kata ya Mbezi juu.Habari
...
“NILIWAHI KULIPWA MIL 10 KWA KUFANYA SHOW MOJA YA MUZIKI MSIFIKIRI DIAMOND NDIO WA KWANZA”….MB DOG
Kama ulifikiri bongo fleva ilianza kulipa mamilioni miaka ya akina
Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz na wengine, nikimaanisha kuanzia mwaka
ya 2010, kwa leo inabidi ubadili mawazo yako.
“Lakini uzuri wakati mimi naanza kufanya, kazi zilifanyika
na misingi za ile kazi zilikuwa zimekaa tofauti na watu wanavyosikia.
Kwa hiyo uoga hata wa mapromota ulikuwepo wakati wanatusogelea. Kwa hiyo
...
LINAH ADUNGWA MIMBA NA MDOSI WA KIHINDI
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga maarufu kama
Linah, anadaiwa kupewa ujauzito na kijana mmoja wa Kihindi anayejulikana
kwa jina moja la Nagar.
Estelinah Sanga 'Linah'.
Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa msichana huyo
aliyeibukia kutoka kituo cha kukuza vipaji cha THT, amekuwa karibu na
Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda...
Subscribe to:
Posts (Atom)