Habari Admin.....!!!
Jamani poleni na majukumu, ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri na majukumu ya kitaifa, Naombeni ushauri katika tatizo linalonisibu...
MIMI ni kijana nipo katika ndoa muda wa miaka mitano sasa, kuna jambo ambalo mke wangu amelianzisha siku za karibuni, amekuwa akinilazimisha sana tufanye mapenzi kinyume an maumbile (KULA TIGO). Mwanzoni nilidahini ni mzuka wa mahaba tu ambao unakuwa unampanda kwa hiyo siku weka maanani hilo jambo; lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona ndo anazidisha kunikumbushia hicho ki2 mara kwa mara kila tunapokutana kimwili..
MIMI sijawahi kufanya mapenzi kinyuma na maumbile hata siku moja na ijui mke wangu hii tabia kaitoa wapi na isitoshe ndoa yetu ni ndoa halali ya kikristo na hairuhusiwi kula tigo hata kwa vitabu vyote vya dini vinakataa hilo suala...
Naombeni USHAURI wenu ndugu zangu maana hapa sijui hata nifanyaje, nimuache mke wangu au...???