Like Us On Facebook

MGANGA WA KIENYEJI ASEMA YUPO TAYARI KUMSAIDIA PENNY ASIACHWE NA DIAMOND,AMTAKA AMPELEKEE KINYESI CHAKE ILI KUMALIZA TATIZO



              Mtaalamu wa miti shamba nchini ambae ni  mwenyeji  wa Tabora aliyejitambulisha kwa jina la Kamdege amesema kuwa anasikitishwa sana maumivu anayoyapata mtangazaji wa kituo cha DTV DVJ PENNY kwa sababu ya mwanamuziki Diamond, hivyo  amemtaka  mrembo  huyo afike ofisini kwake mara moja ili ammalizie tatizo hilo.

Akiongea  kwa njia ya  simu [ 0788-844490 ], Kamdege amesema kuwa unyama na ukatili anaofanywa  na  msanii Diamond unaweza kukomeshwa endapo mmoja wa wasichana hao ataamua kufanya maamuzi magumu  ya  kuchukua  kinyesi  chake  na  kumpelekea  ili  amtulize.

 Katika  maelezo  yake, mganga  huyo  alifafanua  kwamba  kinyesi  hicho  hakitatumika  kumdhuru  Diamond  kwa  namna  yoyote  ile, bali  kitatumika  kuituliza  MAMBO  yake    na  kumfanya  aridhike  na  mwanamke  mmoja  huku  wengine akiwaona  mavi  tu...

Mwandishi  wetu  alitaka  kujua  maana  ya  kuwaona  mavi  tu  ambapo  mganga  huyo  alifafanua  kama  ifuatavyo:


"Huo  ni  msemo  tu, maana  yake  ni  kwamba  hatakaa  atamani  vya  nje  ambavyo  ni  VICHAFU.Sina  maana  ya  kumfanya  awachukie  wasichana  wengine"..
  
"Naomba  niweke  wazi, dawa  hii  si  kwa  ajili  ya  Diamond  tu.Ni  kwa  ajili  ya  mwanaume  yoyote  msaliti. Yaani  akitengezwa, usaliti  utabaki  kuwa  historia  tu

Aidha mtaalamu huyo alijinadi  kwamba  anauwezo  wa  kutibu  matatizo  mengine ya kiafaya, kikazi, kwa wenye kesi mahakamani na wangependa kesi hizo zifutwe, kupandishwa vyeo nk.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari