HIZI ndizo kete zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya yaliyopatikana katika gari baada ya kupekuliwa kituo kikuu cha polisi.
Maiti
ikiwa ndani ya gari yenye namba ya usajili T 887 BSW eneo la chumba cha
kuhifadhia maiti cha hospitali kuu ya mkoa wa Morogoro, baada ya gari
hilo kukamatwa majira ya saa 7 usiku eneo la Mikumi,likiwa na watu
watatu na maiti ya binadamu inayodaiwa kupoteza maisha baada ya kumeza
kete hizo za zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya na kufariki dunia,
ikisafirishwa kutoka Tunduma mkoani Mbeya kwenda Jijijini Dar es Salaam. PICHA NA MTANDA