Mwanamme mwenye wivu amfungia na kufuli mpenzi wake ili asi cheat na kuondoka na funguo.
Mwanamke
huyo mwenye umri wa miaka 25 aliamua kumshtaki mpenzi wake kwa polisi
baada ya kuchoka kuvumilia maumivu ya kukaa masaa bila kwenda haja na
kuogopa kukata Jeans kwa mkasi kwa kumuogopa mpenzi wake huyo mwenye
Umri wa miaka 40 angeweza kumuacha.HII KALI SANA WIVU NOMA DAHH