Hawa ni wanafunzi wakiwa katika pozi la
kushangaze watu,kwa kitendo cha kula mate (kubadilishana ndimi zao) tena
mbele ya wanaume je tunaelekea wapi? Toa maoni yako ..Nini Kifanyike
kuwasaidia mabinti hawa walio tokwa na maadili ukichukulia tabia hii
inazidi kuongezeka siku hadi siku miongoni mwa dada zetu
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.