Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY
mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina
la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagram amepost picha hii
ya mtoto na kumuandikia maneno mazuriiiiiiiii
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.