Like Us On Facebook

"MAAJABU YA MUSA NA USTAA WA SASA LAZIMA UJIANIKE KAMA VITUNGUU ILI UJULIKANE.....KHAAAA!!" SINTAH

                   Mwanadada Huddah Baada ya kupost picha ikimuonesha maungo yake, The C.E.O her self Sintah amshukia na kumuandika katika blog yake kwa mambo ya ajabu anayofanya akiwa kama msanii ambaye ni kioo cha jamii.., Sintah ameonekana kaguswa sana na mambo ya ajabu ambayo wanapost wasanii wenzake ikiwa lengo lao ni kuuza sura katika vyombo vya habari na blogs pia bila kuzingatia kama wanapoteza heshia katika jamii.
SINTAH
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA SINTAH KATIKA BLOG YAKE
"maajabu ya Musa na ustaa wa sasa lazima ujianike kama vitunguu ili ujulikane, shurti matako yanaonekana khaaa kuna vitu vingine vinashangaza sana dunia maana huyu dada anajaribu kadri ya uwezo wake atoke lakini hatoki kihivyoo ni watu wamitandao na walioangalia BBA  ndo wanamjua.
hana tofauti na yule mwanafulenge sema huyu ana mvuto kule kwingine mvuto kushnehiii babu G 
Ahsante "
 Kama hukuiona picha ambayo imemfanya The C.E.O her self mpaka kuongea basi
 
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari