Like Us On Facebook

LORI LAGONGA TRENI BUGURUNI JIJINI DAR









             Lori lililokuwa limebeba mizigo zikiwemo chupa za soda jana liligonga treni eneo la Tazara Buguruni jijini Dar es Salaam, Ajali hiyo ilitokea majira ya saa kumi na mbili jioni.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari