Like Us On Facebook

HILI NDIO JIWE LA AJABU LINALOPATIKANA MKOANI RUVUMA



             Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma 

Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"

1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma,

2. lina vyanzo vingi vya maji chini yake,

3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha'

4. Ni ngumu kulizunguka,

5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo,

6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyote anayetaka kulifikia ama kupanda,

7. Ni kivutio kikubwa kwa wageni wachache ambao hutembelea Litembo, Maguu, Hagati nk huko Mbinga,
8. Linaheshimika sana na wakazi wanaolizunguka jiwe hilo

9. Sehemu kubwa ya watu wananchi wanaolizunguka hawajawahi kulipanda wala kulisogelea kwa hofu,

10. Jina la jiwe hilo ndilo jina la Tarafa ya Mbuji wilayani
Mbinga.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari