Like Us On Facebook

VIDEO : HUYU NDIYE MTU ANAYEWACHANGANYA RAIA WA NCHINI KENYA KUHUSU JINSIA YAKE..!!

             Ni mwanamke au mwanaume, ndilo suali ambalo wengi hujiuliza pindi wanapokutana naye kwa mara ya kwanza, hata hivyo Keziah Njeri kutoka eneo la Muriru, Nyeri anakubali kuwa anapenda starehe za wanaume kuliko za kike, na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Shisia Wasilwa, Keziah hufanya kazi za sulubu ili kujikimu. Ombi lake kwa serikali kuhamasisha wenyeji dhidi ya maumbile yake ili asinyanyapaliwe.

Tazama video hapo chini...

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari