WAKICHALAZWA BAKORA
WANANCHI WAKIWA NA SILAHA WANAZOTUMIA KUULIA PUNDA
BAADA YA KIPIGO
Watu wanaotuhumiwa kumwua punda na kisha kumtupa kwenye mto ambao wananchi wa kando kando wanayatumia maji yake kwa shughuli mbalimbali huko Momba, Mbeya, wamekamatwa na kuadhibiwa vibaya kwa kucharazwa viboko na mgambo.