Like Us On Facebook

MNIGERIA ALIYEKAMATWA NA KADI ZA ATM 30 NA CHEQUE 8 HUYU HAPA.....


Wanigeria wanasifika kwa music,movie,michezo hadi kutunza mila zao.Lakini upande mwingine pia kuna sifa mbaya sana za mambo ya kiharifu ambayo hufanywa na watu wa hapo hapo Nigeria.Kuna habari zilizotoka na kuthibitishwa kuhusu kupatikana kwa vichwa vya binadamu kwenye hotel moja huko Nigeria na badae polisi kumshikilia mmiliki wa hoteli hiyo.
Hivi sasa kijana mmoja ambaye alitambulika kwa jina la Kingsley Mudi, alikamatwa na kadi za ATM 30 za benki tofauti ambazo hadi anakamatwa alikuwa ameshatoa zaidi ya Naila 550, 000 ambazo ni zaidi ya millioni 5 za kitanzania na alikuwa anaendelea kutoa. Unaambiwa pia alikuwa na cheque 8 za UBA Bank zilizokuwa simewekwa sign tayari kwa kutoa pesa. Jamaa kakamatwa na polisi hivi sasa na wizi wa aina hii umeshawahi kutokea hapa Tanzania. Sema ATM kadi 30 jamaa amezidisha sana.


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari