Baada ya kichwa na "vikorokoro" vyake ambavyo ni nywele, macho, masikio, macho na mdomo ktk mpangilio wa uumbaji wake Mungu kinachofuata ni mikono ambayo inajumuisha viganja na vidole.
Sehemu ya mwili kama zilivyo sehemu nyingine zilizotangulia ktk makala zilizopita pia hutoa ujumbe tofauti kama vile kutisha/kuogopesha, kukubali, kataa, furahia, huzuni, kujilinda, baraka/bariki n.k.
Mikono inamtumizi mengi kidunia (nje ya mapenzi) na nadhani ni sehemu pekee ambayo tunaitumia zaidi kuliko sehemu nyingine ya miili yetu na inaaminika kuwa mikono kwa wanaume inasimama au wakilisha Ujasili, Nguvu, Uwezo wa kufanya jambo, kulinda na kuhimili vurugu/mapambano.
Viganja ni sehemu ya mikono na hutumika zaidi kushawishi, kuliwaza, kutukuza,kutoa matumaini nakadhalika.
Sina shaka sote tunatambua matumizi ya mikono kabla, wakati na baada ya kufanya mapenzi na vilevile ktk kuridhishana kama njia mbadala ya "kungonoana" mana'ke sio lazima "mngonoke" kwa kuingiliana "kunako" kila siku sio?.....haswa kwa wale wanawake na wanaume ambao hawako Comfy kufanya mapenzi wakati wa hedhi (rejea Makala iliyopita ya kujichua na ile ya kumkanda mwanaume)
Hakikisha unaitunza vema mikono yako, kumbuka mikono haipaswi kuwa migumu na iliyokakamaa hata kama wewe ni mwanaume.
Utunzaji wa viganja kwa wanaume.
Mnjaua kabisa kuwa vidole vyenu ni muhimu sana ktk swala zima la ufanywaji wa mapenzi na ni vitamu sana vinapopenyezwa kule "kunako" nakufanyiwa kazi vilivyo...... sasa vikiwa vigumu, kucha ndefu/fupi ambazo hazijasawazishwa au vinamipasuko si utajeruhi kiungo K eti?
Jaribu kuwa unailoweka kwenye maji ya jito yaliyochanganywa na mafuta ya nazi kwa muda kisha iondoe na uifute na kisha paka mafuta (Rays hahahaha Naila Upo?) au auna yeyote yamafuta mazito ukiweza lotion yoyote yenye asili ya mafuta ikiwa huna ile maalum kwa ajili ya mikono.
Utunzaji wa mikono kwa wanawake
Sote tunajua umuhimu wake ila tofauti ya utunzaji hapa ni kuwa wanawake tunapaswa kutunza na kucha zetu pia hivyo kama hujui au huna uhakika na utunzaji wa viganja na kucha zako niangushie mstari na mimi nitakuweke ile inaitwa "full Loaded info".
Jinsi yakutumia mikono ktk kungonoka
Kabla-Tumia mikono kukumbaia na viganja vyako kukumpapasa na kumshika taratibu mpenzi wako maeneo ambayo unajua wazi ukigusa anajisikia raha au kunyegeka kama vile kiuno, matiti, tumbo, mgongo, mapajani, sehemu ya ndani ya mikono yake, masikio, makalio......tumia vidole kutomasa na kucheza na kisimi au kupikicha chuchu. Vilevile unaweza kutumia sehemu hii ya mwili wako kumkanda mwenzio kama sehemu ya kutayarishana (rejea makala iliyopita ya kukanda).
Wakati-mnafanya mapenzi tumia mikono yako kumjulisha mpenzi wako unafurahia, aongeze bidii au aingize zaidi kwa kumkandamiza kwa chini au kutoka nje kidogo kwa kumuinua juu (ikiwa wewe mwanamke uko chini).
Matumizi mazuri ya mikono yako humfanya mpenzi wako apate moli/nguvu ya kuendelea kufanya kutokana na ule "mpapaso" anaoupata wakati anaendelea na shughuli. Vilevile kwa upande wa wanawake mikono humfanya mwanaume kutambua kuwa unaelekea kufika kileleni na hivyo humsaidia kuongeza mbinu mbili-tatu ili ufike bila "kwere".
Baada- ya kufanya mapenzi unaweza kutumia mikono kuonyesha shukurani kwa kile ulichofanikiwa kukipata, vilevile unaweza ukaitumia kuamsha nyege za mwenzio na kumsaidia mpenzi wako mwanaume kusimamisha tena ikiwa ni mmoja kati ya wale ambao wanapoteza "ugumu" au ugumu unakuwepo lakini akili haipo pale (hawezi kufik kwa vile alihamisha mawazo yake ili kujizuia ufike bila matatizo (kumbuka wanawake tunachelewa kufikia mshindo ukilinganisha na wanaume).