Unaambiwa Mnigeria D’Banj na Yaris walichukua ndege private mpaka sehemu inaitwa Asaba huko Nigeria kwa ajili ya kwenda kula bata ambapo mrembo huyo aliamua kupost pichaz akiwa kwenye hizo bata za Nigeria.
Mpaka sasa, mrembo huyu ambae ni mama wa mtoto mmoja ameshatajwa kwenye headlines za kuwa mapenzini na mastaa wa dunia kama Fabolous, Sean Kingston, Lloyd Banks, Joe Budden na Bobby Valentino.
Hizi picha mbili za juu ni wakati Yaris alipokua Nigeria. |
Yaris na rapper Joe Budden wakati wa mapenzi yao.. |