Like Us On Facebook

"NAZIPENDA PESA ZAKE LAKINI SIMUHITAJI KIMAPENZI KWASABABU SIO HANDSOME, NIFANYEJE...??"...MDAU ANOMBA USHAURI....!

naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani 
Naitwa clara nina mchumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari