
Ray kigosi akiwa anamuonekano wa ujana na uzee

Laidy Jaidee akiwa namuonekano wa ujana na uzee

Jackline walper akiwa na mwna muonekano wa ujana na uzee

Keylin akiwa na muonekano wa ujana na uzee
Picha za wasanii hawa nyota bongo katika tasnia kuu mbili yan tasnia ya
muziki na filamu zikiwa zimehaririwa na moja wa hariri wa kubwa wa picha
East Afrika mwana dada toka nchini tanzania mwenye makazi yake zaid
southafrika ajulikanae kwa jina la Victoria Edward zimetupiwa mtandaoni
na kupendwa na wasanii wengi kupitia mtandao wa instagram..