Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie
wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada
mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu
ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.Tumedate kwa almost
mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka
tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua
sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie
cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na
ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba
mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu
na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye
ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana ijumamosi
ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili
tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila
akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya
hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta
kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua
---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya
chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie
nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya
mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia
sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.