ARSENAL
 imepunguzwa kasi katika Ligi Kuu ya England, baada ya kulazimishwa sare
 ya 1-1 na Everton Uwanja wa Emirates, London leo.
Kiungo
 Mesut Ozil alitangulia kuifungia Arsenal dakika ya 80, lakini 
Gerard Deulofeu aliyetokea benchi akaisawazishia Everton dakika ya 84.
Kikosi
 cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Jenkinson, Koscielny, Mertesacker, 
Gibbs, Arteta, Wilshere/Rosicky dk68, Ramsey/Flamini dk68, Ozil, 
Cazorla/Walcott dk68 naGiroud.
Everton: Howard,
 Coleman, Distin, Jagielka, Oviedo, Pienaar/Osman dk71, 
Barkley/Naithsmith dk90, Barry, McCarthy, Mirallas/Deulofeu dk79 na 
Lukaku.
Ozil akishangilia bao lake la dakika ya 80
 
Limerudi: Gerard Deulofeu akishangilia baada ya kuifungia Everton bao la kusawazisha

Tim Howard akienda chini kuzuia mpira wa Santi Cazorla

Aaron Ramsey alikosa bao la wazi ambalo Tim Howard aliokoa

Ramsey akijaribu bila mafanikio kumfunga kipa Howard





 
 
 
 
 
 
