Like Us On Facebook

MANGE "ACHENI KUANIKA MABOYFRIEND KWENYE SOCIAL NETWORKS ONA KILICHOMTOKEA DIVA LOVENESS"

"Hivi huwa mnafikiria nini mnavyojianika anika na hawa wanaume huko  kwneye social networks??

Ona sasa mambo yakihabirka mnaanza kuhangaika kujieleza yeye hajaniacha nimemuacha mimi...

Wadogo zangu sikilizeni dada zenu tumeanza kuwa kwneye social networks since 2005 enzi za Hi5 & my space

na hata siku moja hatukuwahi kuweka picha za maboyfriend kwenye hi5 or facebook or whatever

yani toka nianze mambo ya internet nimeweka boyfriend mmoja tu na ndo huyo huyo akawa mume wangu...

Hivi mnadhani tulikuwa hatu date kabla hatujaolewa? we did , ila kuanika marelationship ni kujipa stress tu baadae maana when it ends ni noma mno kuanza kutoa mapicha....



Alafu huyu Prezzo sijui anawafanya nini hawa mademu wa kitanzania mpaka wanajianika anika nae huko kwenye social networks....

Guys, grow up, hakuna mwanaume mwenye akili timamu anae ongea ongea ujinga kwenye instagram, it should tell  you are dealing with a stupid childish guy...

Yani wadau wananitumiaga mambo ya Prezzo huko instagram nirushe ila naonaga ni ujinga mtupu.... ALL I CAN  SAY IS

Diva mshukuru Mungu kakuepusha na huyo mwanaume maana bado ni mtoto sanaaaaaaaaaaaaaa, na mjinga anatakiwa kudate wanawake wajinga tu....

Kama yeye kakuacha au wewe umemuacha ila Mungu kakuepusha......

Na haya mambo ya kugeza mambo ya mastaa wa nje muache relationshiop ya 2 days mtu keshajichora matatoo....

ACHENI KUANIKA MABOYFRIEND KWENYE SOCIAL NETWORKS, MNAJICHORESHA SANA ,ESPECIALLY WHEN IT ENDS.......

ANIKENI WAUME ZENU, HUYO NI WAKO ,WA HALALIIIIIIIIIIIII.........

KWANI MSIPOWEKA MABOFRIEND ZENU MNADHANI WATU WATADHANI KUWA MMEFULIA HAMNA MABWANA? HAPANA?

MWENYE AKILI ATAJUA UNA MTU WAKO ILA UNAJIHESHIMU TU" Mange

-udaku specially
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari