Like Us On Facebook

YULE DEMU MPYA WA PREZZO (STARLISHA) AMJIBU HUDDAH MONROE AMWITA "BWABWA" WA KIKE

Baada ya Huddah Monroe kuonekana kutokupenda Uhusiano wa Prezzo na Galfriend wake kutoka Tanzania anayejulikana kama Chaga Baby ama Starlisha...na kuanza kumtukana Prezzo kuwa ni Mbwa koko ...Starlisha aka Chaga Birbie yamemshinda na kuamua kumjibu Huddah Monroe kupitia Instragram



TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari