Habari yako Admin
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30.Elimu yangu ni chuo kikuu. Sina mke wala mtoto.
Makazi yangu ni Dar na ni mwajiriwa wa kampuni flan ambayo sitaitaja kwa sasa.Kupitia blog yako, naomba uniwekee ombi langu la kutafuta mke wa kuoa...
Sichagui dini wala kabila ila elimu yake ianzie kidato cha nne na kuendelea.
Kwa atakayekuwa na nia ya dhati, naomba tuwasiliane kwa njia ya email yangu. Namba ya simu ntampa tukianza kuwasiliana.
Email yangu ni ayoubgula12@yahoo.com
Natanguliza shukrani za dhati.