Ni mwezi wa sita sasa toka nimeanza uhusiano na mchumba angu, lakini
mara zote nilizowahi kulala nae sijawahi kufika kilele, huwa akimaliza
tu yeye husema amechoka, na wakati mwingine hata akijitahidi mimi huwa
sifiki ninapo pataka, huwa inanikosesha raha pia nikifikiria kuwa
nampenda sana, nimeshawahi kumwambia hii hali mara kadhaa lakini bado
sijapata utatuzi. Naombeni Ushauri wadau