Ni mzigo mwingine mpya kutoka kwa Producer Lucci ambae pia ni msanii wa muziki kutoka hapa nchini Tanzania.
Lucci ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Sumu ambayo ameiproduce na kuimba mwenyewe.
Kwa upande wa video ni umesimamiwa na kampuni ya Nisher Entertainment chini ya Director Nisher.
Cheki video yenyewe hapa chini...