Sifa mojawapo ya Mwanaume jasiri ni kuwa na uwezo wa kukabiliana na GUMU lolote litakalokukabili katika maisha yako...Hapa namzungumzia msanii TID ambaye yuko kitandani akiuguza maumivu ya kuachwa na demu wake
Sote tunayajua maumivu ya mapenzi pindi unapoachwa na mtu flani umpendae, mtu ambaye ulimwamini na kukubali kumvulia nguo zako na kisha kumpa moyo wako...
Pamoja na maumivu ya KUPIGWA KIBUTI na demu wake, TID amepiga moyo konde na kujitosa facebook kueleza kilichomsibu.
“I am very sad to tell u guys that ……….am single again my girl just left me,” ameandika TID kwenye Facebook.