Naitwa Happy Joseph miaka 30, ninatafuta mchumba mwenye mapenzi ya dhati,asiwe mlevi wa kilevi chochote,sichagui dini, rangi wala kabila,ambaye atakuwa tayari kuanzisha familia, awe tayari tupime ukimwi.
Mimi kwa sasa naishi na kufanya kazi hapa Austin Texas
USA, si lazima awepo hapa Marekani hata akiwa Tanzania au popote pale
kwangu haina shida kwa sababu tutajitahidi kwa pamoja tuonane.
Tafadhali naomba kwa aliye serious tu aniandikie kwenye email hii,
happy-joseph@live.com au ani add friend kwenye facebook page yangu: https://www.facebook.com/happy.joseph.547