Like Us On Facebook

PICHA: AL SHABAB WAKISHEREKEA USHINDI WA SHAMBULIO LA WESTGATE KENYA

Kundi la wanamgambo wa Al Shabab kutoka Somalia, Siku ya Jumanne walifanya sherehe ya kujipongeza.Sherehe hizo zilifanyika katika eneo la Barawa baada ya kufanya shambulio la mauaji nchini Kenya katika maduka ya Westgate Mwezi septemba Tar 21 ambapo watu takribani ya 67 walipoteza maisha ikidaiwa ni kulipa kisasi kwa mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa Kenya mjini Kismayo.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari