Mmoja
wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba
shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana
mkoani morogoro
Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwa