Kundi lililojichukulia umaarufu wa haraka kutokana na style yao ya
kucheza na huku wakiwa wamevaa khanga moja iliyolowa maji katika kumbi
mbali mbali za starehe wameonekana kuhamasisha ngono zembe kwa wanaume
wengi wanaohudhuria show zao, tazama picha zao hapo uone. Ni bora wapigwe Marufuku.LAKI NI PESA