Like Us On Facebook

JIFUNZE JINSI YA KUTUMIA KONDOM ZA KIUME NA ZA KIKE KIUFASAHA




NUSU ya watu wanaotumia kondomu kwa
ajili ya kujikinga na mimba ama magonjwa
ya zinaa, hawajui namna ya kuitumia mipira
hiyo

Tumia kondom mpya kila mara unapofanya mapenzi.
Jitahidi kutokugusa sehemu za siri ya mpenzi wako (au osha mikono yako) kabla ya kugusa sehemu zako za siri.
1. Usiguse sehemu za siri za mpenzi wako kabla ya kuvaa kondom.
Angalia kwa makini paketi za kondom kabla ya kuifungua.
Hakikisha haijaharibika au kupasuka. 

Angalia tarehe ya mwisho ya matumizi ya kondom hii, ambayo itakuwa imechapishwa sehemu ya nje ya paketi ya kondom kuhakikisha tarehe haijafika. Kama tarehe imeishafika na kupita, tumia kondom nyingine. 
 
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari