Like Us On Facebook

IRENE UWOYA APOROMOSHEWA MVUA YA MATUSI NA MASHABIKI WAKE MARA BAADA YA KUMNYWESHA POMBE MWANAYE NA KUWEKA PICHA YAKE MTANDAONI.



                   Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake huyo.



Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata na marafiki zao wa huko.
Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto.
…cio malezi ata kama ameshika au kunjwa kabisa. b a good mother….Huku mwingine akicomment ….Ayaaa atapombeka huyo…


dayanachuwa crish hapan shika hiyo mbaya sana.ntakusemea kwa anko babu 1d
• chiispice Acha kushika hiyoo dudu @totoo zuyi crish...
• bawilid hell no

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari