Like Us On Facebook

FAHAMU UMUHIMU WA SHANGA KIUNONI NA JINSI YA KUZITUMIA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI...

                 Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani na kipindi hicho nahisi zilikuwa zinavaliwa kwa sababu ya urembo zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu ya mavazi ya mwanamke wa kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya kupeana Raha na Utamu.Ili kuepusha Post isiwe Ndefu sana ukachoka kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara nikimix Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa kupeana Raha na Utamu;

1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO
Kuna baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.Kama Unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.

2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kwenye Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wamevaa kitu kinaitwa kibwebwe(it is something like an african traditional girdle or bellyband that women wear around their waist for traditional dances or during fighting),wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na kwa upande wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo pia.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.

3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.(talkin from experience since am a male too).Hata sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana Raha na Utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise mpenzi/mume wako.Utajua kuwa anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anapay ATTENTION kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Raha na Utamu.

4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
Kuna Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(either Mume,Mpenzi,Kimada etc).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;

Nyekundu, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake(hedhi/menstruation cycle).Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia kujichafua.
Nyeupe, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na Utamu,kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.
Nyeusi, Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari kukupa Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo romantic tena sana au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.

5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa(when u caress it),lazima mwanamke apate Raha na Utamu. Ukiwa unapeana Raha na Utamu na mwanamke aliyevaa Shanga,wakati wa kupashana joto(foreplay),usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.
Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa kuzipapasa(kuzicaress) kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu(au direction yeyote utakayopenda),ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya(zinamtickle),na atapata Raha na Utamu wa kipekee sana.(jaribu kisha enjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho).
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari