Diamond Platnamz ambae yuko Hongkon kwa sasa, ameamua kutia saini kwenye moja ya picha yake aliyokuta imebandikwa katika ukuta wa hoteli moja ya ki-africa, kuonyesha shukrani kwa mmiliki wa hoteli hiyo. Kwambaaali kama naiona picha ya Wema Sepetu, sasa sijui na yeye amesaini, lol, tutajua baadae