Ajali mbaya imetokea eneo la bondeni, Mbezi Beach jijini Dar es
Salaam baada ya daladala ya Mwenge Kariakoo kukosa break na kugonga
magari mawili na bajaji mbili. Katika ajali hiyo mama mmoja amegongwa
vibaya na amekimbizwa hospitali ya Lugalo kwa matibabu.
Hali haikuwa nzuri maana kila mmoja alikuwa katika hali ya taharuki.
Bajaji zikiwa zimegongwa vibaya