Like Us On Facebook

UZALENDO WAMSHINDA DJ CHOKA,AKATA MAUNO HADHARANI AKICHEZA NYIMBO YA DIAMOND MY NUMBER ONE

 
        Video  mpya  ya  msanii  Diamond  imeendelea  kufanya  vizuri  kwa  kuwakuna  watu  wa  rika  mbalimbali  ambao  uzalendo umekuwa  ukiwashinda  na  kujikuta  wakimwaga  "radhi"   ili  kukata  kiu  yao....

Katika  upekuzi  wangu, nimefanikiwa  kumnasa  Dj Choka  akizungusha  kiuno  chake  hadharani baada  ya  mzuka  kumpanda  wakati  akisikiliza  ngoma  mpya  ya  Diamond....

 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari