Like Us On Facebook

PICHA:TAMASHA LA KILI MUSIC TOUR 2013 LILIVYOBAMBA MBAYA KAHAMA



Mwanadada Lady Jay Dee akiwapagawisaha wakazi wa Kahama usiku huu waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Taifa wa Kahama usiku huu. 

Binti anayetawala jukwaa la muziki wa kizazi kipya kwa sasa, Recho kutoka THT akicheza na madansa wake jukwaani. 

Recho akiwapa kizunguzungu wakazi wa Kahama usiku huu.



Linex Sunday, naye alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotia fora katika tamasha la muziki la Kili Music Tour 2013 lililomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Taifa wa Kahama.





Mara akaanza kuwaomba msamaha kwa wimbo wake I'm Sorry..... 

Mkali wa RnB,Ben Pol akionyesha ukali wake stejini.



Izzo Biznes akiimba moja ya nyimbo zake mbele ya mashabiki lukuki waliofurika kwenye Uwanja wa Taifa wa Kahama. 

Izzo Biznes akiwachana vilivyo wakazi wa Kahama.



Izzo Business na Barnaba wakiimba pamoja katika jukwaa la muziki la Kili juzi wilayani Kahama 

Mkali wa Hip Hop,Kala Jeremier akiwapa shangwe wakazi wa Kahama.



Muite Ngosha the Swagger Don a.k.a Fid Q akifanya yake stejini.

Huku Ngosha na huku Izzo,unadhani nini kinaendelea hapo?

 



Roma Mkatoliki.

 



Mara ukaimbwa wimbo wa hepi besdei ya Ben Pol ambao uliwashirikisha wasanii kibao wakiepo hao waliopo jukwaani. 

nani kakwambia kuwa Kahama hakuna wanawake nyonga??

Binti wa Kahama akifanya yake stejini. 

Kahama ilikuwa ni Shangwe tupu. 

Wadau wakishow love mbele ya Bonge la Kamera. 

Kutoka kushoto ni Izzo,Lady Jay Dee pamoja na Ngosha Fid Q. 

Nyuma ya Steji. 
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari