Like Us On Facebook

MAHOJIANO YA RAIS KIKWETE NA RADIO YA UMOJA WA MATAIFA,NEW YORK MAREKANI


                   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho  Kikwete amesema kwa sehemu kubwa utekelezaji wa maendeleo ya millenia umefanikiwa nchini mwake licha ya kwamba yako malengo ambayo bado hayajafanikiwa mathalani usafi wa mazingira na kuanisha mipango iliyopo katika kuyatimiza. 

Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa Idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa , Rais Kikwete amesema nchi zilizoendelea zimekuwa zikisita kutimiza lengo namba nane linalowataka watoe asilimia saba ya pato la taifa ambapo akitoa mfano kwa nchi kama Marekani amesema ni kiasi kikubwa na hivyo kutotomizwa jambo  hilo kwa ujumla linachelewesha utekelezaji wa malengo hayo.

Bofya  kitufe  cha  pleya  umsikilize  hapo  chini 
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari