Like Us On Facebook

WEMA AENDELAEA KUTOKOMEZA PENZI LA DIAMOND NA PENY...TAZAMA PICHA ALIYOPOST WEMA INSTAGRAM AKIWA AMEVAA VIATU VYA DIAMOND

                Takribani week sasa habari kubwa kuhusu mastaa Bongo ni story ya Diamond na Wema ,kurudiana
ambapo habari hizo bado ni tata kutokana na wahusika wote kutosema chochote kuhusu mahusiano yao.
ingawa kuna viashiria vingi vinavyozidisha utata wa mahusiano ya wawili hawa waliowah kuwa wapenzi zamani.
Wakati wakiendelea kutuchanganya ,kama unakumbuka tuliweka video ya diamond akikatiza ndani ya mitaa ya China akiwa amevaa nguo nyeusi na viatu vyeupe
Wema nae alipost picha Ikionyesha amevaa viatu kama alivyoonekana amevaa Diamond,utata siyo??
tazama picha na video kisha u judge mwenyewe.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari