Like Us On Facebook

HUU NDO UWANJA WA TAIFA WA SOMALIA AL SHABAAB WAZUIA KUTOKARABATIWA NA WALA USITUMIKE

                Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimepiga marufuku soka kuchezwa kwenye Uwanja huo na sehemu nyingine yoyote ya Mogadishu tangu mwaka 2008. Serikali ya Somalia juzi imeingia mkataba na kampuni ya moja ya China
kukarabati miundombinu ya Uwanja huo lakini imeripotiwa kwamba kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa na inasita kuanza kazi.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari