Like Us On Facebook

HII LAZIMA UISIKIZE NYIMBO YA ALIOYOIMBIWA DIAMOND PLATNUM...MH DIAMOND KACHAFULIWA SANA...

 
              Huu wimbo hatari tupu.Inaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka kimuziki.Dogo aloimba anadai Diamond ni ndugu yake wa damu na hakumbuki alipotoka.Duuh kaongea mambo mengi sana.Sina mbavu kwa kweli.Isikilize hapa Chini.Ni balaa tupu.Ni bonge moja la Ngoma.


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari