Like Us On Facebook

FEZA KESSY AVAMIWA NA MAJAMBAZI WENYE SILAHA NZITO.....MWENYEWE AFUNGUKA NA KUONGEA KWA MASIKITIKO..!!


            Feza Kessy mshiriki wa Big brother the Chase amepatwa na matatizo ya kuvamiwa na majambazi wenye silaha siku mbili zilizopita. Feza Kessy amesema kwamba tangu avamiwe na majambazi hao hajisikii kuwa na amani kabisa. Feza Kessy anaendelea kuwashangaa hao majambazi kwamba silaha walizobeba zilikuwa za nini?, au walidhani kwamba anapesa wakati hakushinda Big brother na alikuwa hana kazi kwa muda miezi mitatu iliyopita. Pole sana Feza Kessy na hizi ni tweet zake akielezea tukio hilo

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari