Like Us On Facebook

ANTY EZEKIEL"NIKO VIZURI MKONO WANGU HAUJAOZA WALA NINI NI UZUSHI TU"


                   Huyu ndiye Super Star Aunt Ezekiel at Nyama Choma Posta Ground Kijitonyama, jana aliambiwa kidonda chake kimeoza na mkono utakatwa kumbe ulikuwa ni uongo wa mchana, she is just fine!! 
"Mie niko fine mkono unaendelea kupona...haujaoza wala nini ni uzushi tu "
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari