Dunia ina mengi....Dawa ya tatizo ni kukubaliana nalo.
Huyu ni jamaa mwenye jinsia mbili na kwa mujibu wa maelezo yake anadai kuwa jinsia zote mbili ziko poa (Active)..
Kinachofurahisha zaidi ni kwamba jamaa kakubaliana na tatizo...Haoni kama ni shida na anaisha maisha ya kawaida kabisa...Cha kufurahisha zaidi ni kwamba, jamaa katangaza kusaka mchumba wa jinsia yoyote..
Kama upo tayari,wahi mototoz au mshikaji kwa upande mwingine ila mh kama utampata sijui kile kiungo kingine kitahudumiwa na nani kwasababu anatakiwa aoe na kuolewa kwa wakati mmoja