Bw Mugabe, ameshinda asilimia 61% ya kura, dhidi ya Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai mwenye asilimia 34%.
Bw Tsvangirai amesema uchaguzi haukua wa haki na kulikua na udanganyifu mwingi.Na pia anesema MDC hawata shilikiana na Zanu-PF ,pia wanajiandaa kwenda mahakamani..